Tenda miujiza by mchungaji abiud mishuli

Views: 1402971

Comentários sobre "tenda miujiza by mchungaji abiud mishuli" video:

AutorA very touching message... Be blessed in JESUS NAME..
Autor: Norah Kimuyu
AutorGod huu mwaka usipite naomba muujiza
Autor: Janeth Julius
AutorGod bless you so much. This song is so touching
Autor: Elizabeth Ingato
AutorTenda muujiza bwana
Autor: Aneth Naftali
Autorbado nakungoja! when they disqualify me,,,,,, i need your qualifications. enda ukanitete Baba yangu! nakuaminia,,,when corruption is taking over remember me n give back what belongs to me. Usiache mwaka huu upite
Autor: Elizebah Omaoro
AutorTenda miujiza maisha mwangu eeh Mungu mwaka huu 2019. Amen
Autor: esther njiraini
AutorMungu katika maisha yangu Mimi na familia yngu usiishe mwaka huu bila kutenda miujiza kwangu mie na familia yngu Amen
Autor: Merry richard
AutorHuu mwaka usipite bwana bila kutenda mujiza
Autor: Marcy Mbegab
Autorthat's my prayer and my trust...do it mightily....
Autor: Sylvester Jamwaka
AutorKusimula, J.MMungu mweza wa yote, naamini mwaka huu hautapita bila kunitendea muujiza; amen.
Autor: Jese Kusimula
AutorUsiache mwaka huu upite 2018 bila kunitendea miujiza katika maisha yangu Yesu. Amen
Autor: Aimee Brenda Kleine
AutorMwaka huu Mungu usiipite kama ujanibariki
Autor: lucia nduta
AutorBwana IPE inchi ya congo muujiza II lwaka2018
Autor: NYATEMU GILBERT
AutorMungu wangu nlikuomba na bado nakuomba hii 2018 isipite bila kunitendea muugiza...nashukuru kwa yote umenitendea na bado najua utazidi kunitendea
Autor: Mariam Mary
AutorHili ni ombi langu Mwenyezi Mungu,tenda miujiza katika maisha yangu.
2019 Lord come and do a miracle.may favour,breakthrough and blessings be my portion.Amen!
Autor: Rebecca chelimo
Autortenda muujiza Mwaka huu 2019
Autor: Zuhura Mohamed
AutorAmen
Autor: Richard Buhatwa
AutorGod do ur miracle before this year ends
Autor: Pnerez Ali
AutorTenda muujiza Mungu usiache mwaka huu wa 2019 upite Amen
Autor: Joyce Wakesho
AutorMungu wangu huu ni mwaka wangu, nakuomba plz plz nitendee mjiza kwa maisha yangu.
Autor: Pamphiller Wangwa
AutorAm very thankful, blessed with you guys may God's grace and mercy and love be with you
Autor: Sammy Onyango
AutorAmen we keeping prayer
We. Believed and. God bless you.
Autor: Agnes Mafita
AutorNitendee mungu muujiza mwaka huu wa 2019
Autor: Jennifer Wausi
AutorThank u man of God abiud misholi for such wonderful n touching songs.May Almighty God uplift u to greater level everyday.I am blessed!!!
Autor: madoh godwin
AutorAmena mubarikiwe nyote
Autor: Beatrice Mwajuma
Autorthis song is powerful and it makes the Almighty to perform miracles
Autor: Sani Abacha
Autormaisha yangu yasipite bila kutenda miujiza
Autor: JUDITH KILEO
AutorMwaka huu usipite namm nitendee muujiza ee bwana MUNGU
Autor: Dickson Bagwan
AutorGod I cry to you...don't let this yr to end without you performing a miracle in my life
Autor: sophie muthoni
AutorPoul clement
Autor: Alex Dongwe
Autor2019 and am still here crying to my Lord to do a miracle. Tenda muujiza Bwana. Mwaka huu usipite.
Autor: Moses Mutua
AutorTenda baba maishan mwnguu
Autor: rodger Mmole
AutorTenda muujiza kwa dada yangu Mungu. Usiache mwaka upite bila kutenda muujiza.
Autor: Tinatana Thomas
AutorUsiache Mwaka usipite bila kutenda muujiza Baba
Autor: Norah Kimuyu
AutorBaba nuteendee mwaka huu usinipite bwana just come through for me
Autor: Leonida Ashioya
AutorTenda muujiza Mungu wangu juu ya maisha yangu nijalie watot wazuri watakaotembea katika njia zako
Autor: Debora Mrema
AutorIn the name of Jesus Christ
Autor: Catherine Ivacha
AutorTenda miujiza baba thanks for 2019 more blessings on my way
Autor: Cherry Sherry
Autortenda muujiza.usiach mung mwak huu upite bila kutenda muujiz
Autor: Innocent Chazuka
AutorMungu akubarki Sana
Autor: Lailat Lasway
AutorMungu tends miujiza juu yangu
Autor: Jullieth Joshua
AutorThank u man of God abiud misholi for such wonderful n touching songs.May Almighty God uplift u to greater level everyday.I am blessed!!!
Autor: madoh godwin
AutorHikaka Bwana anatenda muujiza, Amenitendea. Be blessed Abiud
Autor: paul gichini
Autormungu tenda mujiza hakik hufananishi
Autor: Ben Nnko
AutorMUNGU uliye kimbilio langu nakusihi usiache mwaka huu upite bila kutenda muujiza wako ee BWANA
Autor: Mary Teu
AutorKwanini Watumishi wamungu tunataka pesa kuriko Injili? Siwezi download video hiyi ili nitumiye mwenye hana uwezo wakuona youtobe
Autor: Nkurikiye Longin
Autor"Tenda muujiza" the word is enough prayer to God
Autor: Dyllan Barasa
Autorusinisahau hii mwaka ,kumbuka mwana wako fahima mwaka usipite bila kutenda jambo
Autor: Risper Mkitsa
AutorMungu naomba unitendee miujiza mwaka huu
Autor: Alice Koros
AutorMy favorite song, every day and night
Be blessed mchungaji

from Australia
Autor: karimi karimi
AutorTenda muujiza kwang mwaka huu usipite bila kutenda muujiza baba
Autor: Irene Luoga
AutorAmen amen ....do your miracles I need its my humble prayer ....
Autor: Alice Maina
AutorEe mungu usiache mwaka bila kutenda muujiza
Autor: hamoud hamoud
AutorTenda miujiza usiwache Mungu mwaka huu upite bila kutenda mujiza
Autor: NANCY Pretty
AutorTenda mujiza
Autor: gregory mwongela
AutorTenda Muujiza MUNGU mwaka 2019 iwe yenye baraka
Autor: peter moshi
Autoryesu mwaka huu usipite bila wewe kutenda muujiza.
Autor: Peter Owuoe
Autortenda muujiza baba
Autor: Nicole Sebano
AutorAmen.....Mungu usiache mwaka huu upite bila kutenda muujiza katika maisha yangu...Amen
Autor: Salome Mutiso
AutorTenda mujiza bwana mwaka huu wa pili 2019 Baba yangu
Autor: Gideon Okiki
Autormungu usiache.mwaka huu upite bila kunitendea mujiza ameen
Autor: Gerard Mollel
AutorPoul clement
Autor: Alex Dongwe
AutorMungu naomba nitendee muujiza nahitaji kupata mtoto mwaka huu nimepita magumu mengi ila mwaka huu Mungu naomba usinipite
Autor: monica leoncy
Autortenda muujiza kwangu 2019..Mungu ni bariki
Autor: Imma Classic
AutorHallelujah
Autor: Karembo Joan
AutorTenda Muujiza kwangu nipate watoto eee mungu tenda muujiza kwenye family yangu
Autor: Moza Mgaya
AutorTenda miujiza Mungu huu mwaka usipite bila kunitendea miujiza 🙏
Autor: collin mtoto
AutorThank u man of God abiud misholi for such wonderful n touching songs.May Almighty God uplift u to greater level everyday.I am blessed!!!
Autor: madoh godwin
AutorSTEPHEN N KIMANI
Autor: Stephen Kimani
AutorAmeen
Autor: Mary Musa
AutorUsinipite baba mwaka huu nitendee mujiza
Autor: Fatuma Rama
AutorIyi week nijua utatenda baba muijiza na uponyaji ndani ya A
Autor: Claudine Uwitonze
Autortenda mugiza bwana kwa kazi yangu maisha yangu watoto wangu wazazi wangu tenda bwana Amen
Autor: Marcy Mbegab
AutorTenda muujiza bwana yesu mwaka huu 2018 usipite bila kutenda mateso yangu yaishe Amen naamini kwa jina la yesu
Autor: Ester J Nice mami Chikurukwa
Autorwimbo mzuri unabariki
Autor: philbert mwanakusya
AutorUsiache Mungu mwaka huu upite bila kutenda muujiza
Autor: Juma Naomi
AutorMungu tenda miugiza
Autor: Evarlyn Kavaya
Autornakwenda kupata kazi zurii kwa jila lako mungu wang tukufu
Autor: Husean Omary
Autorkweli mungu tenda muujiza ktk mwaka wangu huu wa mwisho ktk kuisaka degreee,nakuamini mungu wangu
Autor: Jema Mwasaka
Autormungu anitendee miuza hata mimi
Autor: Hildegath Haule
AutorUsikubali 2018 ipite bila kutenda muujiza Mungu
Autor: Bee Tee
AutorYesu nitendee
Autor: Margaret Chege
AutorTenda miujiza mwaka huu bwana❤️
Autor: Mercy Chebet
AutorMungu akuzidishe mtu wa Mungu nabarikiwa sn nikisikiliza nyimbo zako.
Autor: omega resindam
AutorUbarikiwe Mchungaji misholi .....
Ee Mungu usiuache mwaka huu upite bila kutenda muujiza
Autor: Enock kitomarys
AutorHallelujah
Autor: Naomi Sakwa
AutorHallelujah hallelujah tenda muujiza Yesu
Autor: nyota mabanga
Autortenda miujiza kwangu bwana usiniache
Autor: Misheck Mubisa
AutorTenda miujiza bwana
Autor: Neema Hamza
AutorNikweri. Mungu asante kwa yote umenitedea..nakuomba mwaka huu wa 2019...usiishe pira kutenda mujiza
Autor: Monicah Mugure
AutorThank u man of God abiud misholi for such wonderful n touching songs.May Almighty God uplift u to
greater level everyday.I am blessed!!!
Autor: madoh godwin
AutorTenda muujiza bwana, husiaje huu mwaka kupita bila wewe kutenda muujiza
Autor: kiptore edwin
AutorMwaka huu tenda muujiza Bwana
Autor: Amiza Hayola
Autor2019 amen tenda miunjinza hii mwaka inziishe bila miunjinza hata huku urabuni tukubuke wote tuko bariki kazi yetu jesus thank kwa wimbo
Autor: Shekhaalndeby Shekhaalndeby
AutorTenda muujiza,Husiache mwaka huu wa 2019 upite...Amen
Autor: Emmanu kip
Autorameeen
Autor: Alphonce R S Sangisangi M
AutorMwaka huu ,huu mwezi haupiti bla ktnda muujiza wngu
Autor: faith nyongesa
AutorMouya
A worship song which moves my heart
Autor: Hi how much does the machine cost? Patrick Macharia
AutorTenda muujiza bwana mwaka huu usipite sijajenga kwangu na nipate mchumba mkweli niolewe amn
Autor: Catherine Fabian
Autorlord i pray that u may bless me again
Autor: Dolly Maish
AutorUsiache mwaka huu upite bila kunitendea muujiza wa Nazi mungu.
Autor: Benedict Amwoka
AutorBaba tunavyoenda kuanza masomo yetu ututie nguvu tukiamini utatenda muujiza juu ya masomo yetu
Autor: Lulu Vitusi
AutorKweli kambisa mungu nisahindie Mwaka wa 2019 usipite mbila kunitendea miujiza
Autor: Amosi Soni
AutorTenda miujiza Bwana yesu Amina
Autor: Beatrice Okwara
AutorKUNAYE WAKUMWALIKA BWANA MWAKANI ATENDEWE, NA ASEMA TENDA BWANA
Autor: timothy musyoka
AutorTwo year ago I listen the song and went on my knees for a job after a two hour prayers I was called for interview of which I passed nd started working immediately,,, bado Niko kazi , u are a true servant of God may the one who calket you lift you nd protect you nd ur family, I love ur songs, Janet from Kenya,...
Autor: Janet Ojwang
Autornitendee miujiza baba naamini mwaka hautapita
Autor: jacky piucy
Autortenda muujiza yesu wangu mwaka huu 200/19 umenitendea mengi na mengine yanakuja asante mungu wangu
Autor: Naomi Antony
AutorUsiache ewe bwana 2018 upite bila kunitendea miujiza katika maisha na masomo yngu😍
Autor: ASHA RUTAMANZULA
Autornitendee muujiza mwaka huu 2019 usipite bwana
Autor: Suzy Lyimo
AutorMungu akutie nguvu katika kuitenda kazi yake mchungaji.
Autor: Omegar Walter
Autor2019 mwaka wa muujiza wangu
Autor: fika kibona
AutorTenda muujiza usiache Mungu mwaka huu 2019 upite bila kutenda muujiza kwangu 🙏
Autor: sweetbertha charles
AutorTenda muujiza nimechoka na majaribu katika maisha yangu
Autor: Jane Jehner
AutorMu namtukuza mungu vyema
Autor: Elizabeth Mtweve
AutorEeeeee mungu tenda miujiza yako kwa wale wote wenye wanakuhitaji
Autor: joleen masha
Autortenda mujiza mungu wang mwaka 2019 niuaze nikiwa na mujiza wako baba yang nibaliki na mm
Autor: Husean Omary
AutorMungu nitendee miujiza na mm
Autor: Eunice Joseph
AutorTenda muujiza usiche mungu mwaka huu upite 2019 bila kutenda muujiza
Autor: hamisa hassan
AutorAmina
Autor: Josphine Ireri
AutorTenda bwana
Autor: Robert Kipkemboi
AutorGod bless me and see me through this year as the song goes Amen
Autor: Phidelia Muhiga
AutorTenda miujiza eeeh jehova usiache mungu mwaka upite bila kutenda miujiza haleluya
Autor: joleen masha
AutorHalleluyah🙌Tenda Tenda Muunjiza🔥🔥💪JESUS JESUS JESUS😭😭Instant Miracle do not Pass me by Rabii
Autor: peter mwangi
AutorAMEEN ! HALLELUJHA ! AMEN 👐
Autor: Leya sene
AutorWow!!! Dieu est bon et juste.
Autor: nepo 2.0
AutorBwana tenda miujiza usiache huu mwaka upite
Autor: rip Opisa
Autorehee mungu tenda muhujiza niweze kupona huu ugojwa
Autor: Jeska Juma
Autortenda muujiza yesu usiache Mungu mwaka huu upite bila kutenda muujiza amen
Autor: Ester Juma
AutorTenda muujiza kwenye. Maisha yetu
Autor: Frank Ngilangwa
AutorNimeshaona mkono wa Mungu... Ndomana nashukur ili miujiza ya Mungu iwe juu yangu kama tuko pamoja sema .. Amen
Autor: Gedeon James
AutorMungu tendamuujiza kwanguhuhu muaka 2019 katikamaishayangu ame
Autor: chisten mwafula
AutorMungu ashatenda muujiza maishani mwangu 2018
Autor: Dyllan Barasa
AutorKumshinda Shetani ni kazi ndogo sn, Mtafute Yesu tu Shetani atakimbia mwenyewe na Utakuwa Huru.
Autor: Joseph Harri
AutorAs minhas musicas de gospel de preferencia em Africa
Autor: julio nhachengo
AutorTenda miujiza Baba usiache mwaka upite bila kunitendea miujiza
Autor: Happynes Shirima
AutorTenda muijza huu mwaka mungu
Autor: joshua ongudi
AutorMwaka huu usipute bila kunitendea muujiza. God bless you abundantly
Autor: Rose Wambui
AutorTenda muujiza....bwana wangu....umetenda 2017 pia 2018 mungu
Autor: Thomas Blessed
AutorEe Bwana Mungu tenda muujiza usiache mwaka huu upite bila kutenda muujiza
Autor: Lucy Patric
Autorndio wimbo uko [email protected]
Autor: philbert mwanakusya
AutorEe mungu tenda miujiza mwaka huu kwangu
Autor: Nana Kulliane
AutorTenda miujiza Bwana Yesu katika maisha yangu na familia yangu.
Autor: Denis Temba
Autorusiache YESU mwaka huu upite bila kutenda muujiza
Autor: kalekwa jafary
AutorHOW CAN I GET YOUR CD AM IN KENYA
Autor: NOEL INDATA
AutorBaba tenda .usiache mwaka huu upite bila kutenda miujiza
Autor: Mary Kilwake
AutorTenda muujiza katika masomo yangu
Autor: Lilyan KitungwaAlmuni
Autornitendee muuziza mungu baba kabla mwaka huu haujaisha katika jina la yesu kristo ninae mwamini
Autor: Swala Sabrina
AutorNimebarikiwa Sana sijui nitamlipa nn mungu,amenitedea vitu mingi, nice song
Autor: Sila Rop
AutorNabii Tito
Autor: Kalikali Makumiane
Autorusiniache mungu wangu
Autor: Florry Benjamin
AutorTenda muujiza kwenye maisha yangu mwaka huu usipite bila kutenda muujiza
Autor: Cecy Sentala
AutorTENDA BWANA MIUJIZA
Autor: SAFARI WILSON
Autoramen
Autor: Peter Kimbe
Autorasante tumibalikiwa
Autor: Seleman Hassan
Autorbaba usinipete umwaka tenda mujizasi
Autor: nibizi esp bosco
AutorNakuomba mungu baba mwaka huu wa 2018 usipite bila kunitendea muujiza
Autor: Salm Salma
AutorTenda muujiza yesu 🙏🙏😭 usiache bwana Siku hipite bila kutenda muujiza baba 😭😭🙏
Autor: Zawadi Christna
AutorTenda muujiza...... Usiwache mungu siku ipite bilA kutenda muujiza. 2018 year of blessings upon blessings
Autor: kiongo benja
AutorEmmah Tanui .pastor pray for me
Autor: Emmah Tanui
AutorTenda muujiza
Autor: PRAXIDES WABWOBA
AutorTenda miujiza yesu nimesemwa sana
Autor: Rachael Ndege
Autortenda miujiza mwaka huu usipite bwana
Autor: Fibi Oko
Autorameeen ameen na mm nasubiri muujiza wangu kesho,ameen
Autor: susuan shesha
Autor.
Autor: Mkika Gidion Nyasebwa
AutorJameni bwana tenda miujiza kwa maisha yangu
Autor: Mary Kilwake
AutorHEE MUNGU BABA YANGU TENDA MUHUJIZA KWA MAISHA YANGU HII MWAKA 2018 USINIPITE BABA YANGU BILA KUNITEDEA KAZI NILIKUOBA ULINIPATIA NAOMBA UKANIPATIE NGUVU YA KUIFANYA HEE BABA MWILI WANGU UNANISUBUA BABA NAITAJI UPONYAJI KUTOKA KWAKO NA NINAJUA UTANIPONYA KATIKA JINA LA YESU MWANA WA MUNGU ALIYE HAI
Autor: Boniface Masiah
AutorAmen tenda muujiza baba
Autor: Christine Mugala
AutorTenda muujiza bwana
Autor: Aneth Naftali
AutorThank u man of God abiud misholi for such wonderful n touching songs.May Almighty God uplift u to
greater level everyday.I am blessed!!!
Autor: madoh godwin
AutorEe Mungu wangu unitendee muujiza mwaka huu
Autor: NATHAN MAO TV
AutorTenda miujiza baba mwaka usipite niitwe mama Ibrahim 😍😍
Autor: Furaha Dastani
AutorEe Bwana tukumbuke sisi wanao ututendee miujiza kila mmoja wetu kwa kadri ya haja ya moyo wake.
Autor: Isack Samwel
AutorAmen Baba kwakutukumhusha ibandah
Autor: Amosi Soni
AutorGod bless ,tenda miujiza kwa maisha yangu
Autor: Raphael Mutuku
AutorTouching song
Autor: Evarlyn Kavaya
AutorTenda mujiza jéhovah, iyi mwaka isi ishe jéhovah,mungu wa Abraham, wa isaka,ya eliya bila ku tundeya muujiza,ma deni mungu...ni tendeye baba jéhovah. Amen
Autor: FERNANDO nyembo
AutorTenda muujiza Yesu mwaka huu 2018 ucpite bure maishani mwangu tenda bwana Yesu usinipite.
Autor: Geni Maige
AutorEe baba naomba unitendee muujiza usiache mungu mwaka huu kunitendea muujiza Asante yesu.
Autor: Cotrida Kigwile
Autoramen
Autor: Naftali Sima
Autor2019.. mbingu na dunia zitapita lakini maneno yako hayatapita kamwe, hivyo nikitiwa nguvu na neno lako ninaomba huu mwaka usipite bila kutenda miujiza... 🙏 🙏 Amen
Autor: Marvel Inc
AutorYesu wangu Joo nakuitaji sanaaaa mwaka huu nione mukono wako baba
Autor: Ben Ntanga
AutorHaleluyah tenda miujiza bwana yesu
Autor: GEORGE OGOLA
AutorTenda muujiza My load usiache mwaka huu upite bila kutenda miujiuza
I need you my load
Autor: Charlow Mathew
AutorHaleluyaaa tenda bwana muijizaaa
Autor: Ana Manoni
Autoreeh baba naomba unitendee miujiza
Autor: Rose Pendo
AutorI choose to pray with this song and i know the Lord will do his will in my life....
Autor: Gideon wamoyi
Autortenda miujiza mwaka huu usipite bwana
Autor: Fibi Oko
Autoreeeeeeeeh mungu asniache mwaka 2018 mungu atende muujiza
Autor: Pilii Kisandu
Autorthank you pastor MIshuli,this has really touch my heart
Autor: Alice Isutsa
AutorBwana tenda muujiza usiaje Mungu mwakahu 2018 upitebilakuteda muujiza ubarikiwe sana🙌🙏
Autor: Mugisha Elena
AutorEeewe Mungu wangu naomba unisaidie mwaka huu usiishe tenda muujiza
Autor: fika kibona
AutorBwana naomba na Mimi unitendee miugiza
Autor: Baraka Njau
AutorAmen Lord what a touching song
Autor: pauline odembo
AutorMungu tenda muujiza ninakuomba kutoka ndani ya kilindi cha moyo wangu 😭😭 usiache Mungu mwakahuu usipite bila kutenda muujuza kwa maisha yangu na family yangu 😭
Autor: Princess Lymo
AutorThank u man of God abiud misholi for such wonderful n touching songs.May Almighty God uplift u to
greater level everyday.I am blessed!!!
Autor: madoh godwin
Autormungu tends miujiza
Autor: Emmanuel Daud
AutorAlikiba
Autor: david evans
AutorMungu Baba nitendee miujiza kabla mwaka ipite kwa Kesi ya mwanangu awe na mimi na sio babake aliye na shida za madawa.
Autor: judith akida
AutorThank u man of God abiud misholi for such wonderful n touching songs.May Almighty God uplift u to greater level everyday.I am blessed!!!
Autor: madoh godwin
;;;;;;;;

thoughts on “Tenda miujiza by mchungaji abiud mishuli

Leave a Comment